MBEYA PEAK/Kilele cha Mlima Mbeya
Kilele cha mlima Mbeya ni moja ya kivutio kikubwa sana kinachopatikana mkoa wa mbeya ambao uko nyanda za juu kusini.
Ukiwa juu ya hicho kilele cha mlima unaweza kuona madhari nzuri sana ya huo mlima kuna ukijani mbichi sana wakati wa masi ka,kuna ndege wazuri sana pia kuna ardhi nzuri sana pembezoni mwa mlima ambayo ni nzuri sana kwaajili ya kilimo na wenyeji wa hayo maeneo kabila la wasafwa wanalima sana viazi mviringo/Ndokanya.
Pia ukiwa kwenye kilele cha huo mlima unaweza kuona mbeya mjini kwa bondeni.
Ni sehemu nzuri sana kwaajili ya kutembelea na ki refresh mind.
Juu ya kilele hicho kuna upepo mzuri na baridi kiasi ambayo inaondoa joto kabisa.
Karibuni sana Mbeya peak
Welcome and Visit Mbeya
Tutafute kupitia twitter @Visitmbeya
Comments
Post a Comment